Hivi nani ana designer socks???Mmhh kwa bongo watu wanaweza kua nazo za mtumba

















But well Gucci wana socks za kike Crystal interlocking G stockings ambazo wanauza $1340,Stars wakike kama wamezipenda hizi kuna color Ivory na za Brown hivi.

Socks zina mng’ao mng’ao

J.lo wore hers na ankle strap sandals 

Riri alivaa na Pointed mules 

cute 



Tiwa Savage na Keisha Ka’oir nao walivaa za GG pattern cotton blend socks

No comments:
Post a Comment