Monday 11 December 2017

Mwanamuziki Sia Ndiye balozi wa Lipstick ya Viva Glam kutoka M.A.C

Mwanamuziki SIA anajulikana sana kwa kuficha uso wake ,wengi hawamjui sura yake unless um google ,Ni mwandishi mzuri sana wa nyimbo alisha andika hits kama   Rihanna(“Diamonds”) and BeyoncĂ© (“Pretty Hurts”)
Alitamba sana na nyimbo zake kama Chandelier and Cheap Thrills.
MAC walimtangaza kwamba ndiye msemaji wa Viva Glam lipstick kutoka MAC ambayo mapato yake yote asilimia 100 yanaenda kuchangia kampeni za kupambana na kuzuia Ukiwi duniani.
Collabo ishafanywa na  Taraji P. HensonAriana Grande, and Rihanna in supporting the cause.
The $17 lipstick is a warm hue, and the black tube features Sia’s name in red. It will hit stores on Jan. 25. 

Japo fans wengi wamekasirishwa na MAC sababu wanaenda kuuza hii product China ,na China wanajaribu hizi products kwa wanyama kwanza ndo binadamu wauziwe which watu wengi wako against nacho sababu ni kua cruel to animals.
Baadhi ya malalamiko
 “I love everything this campaign stands for, but I can’t stand behind it as animals were tortured to make this lipstick. Even if they were truly Cruelty-Free, they still put animal based products in their cosmetics; which means either way an animal was harmed. Be a voice for the animals and remove yourself from this as you are such a huge advocate for animals.”
Others were more forgiving, with one person writing, “You can still love animals though and buy from Mac. Buying Mac makeup doesn’t mean you’re a bad person.”
However, they sell in China. They are indirectly testing on animals to make more money. Other largely popular brands specifically exclude China from their market due to their testing policies. Sorry but I will not be purchasing from this collection.
SIA ILIBID ARESPOND
Like M·A·C, I believe makeup shouldn’t be tested on animals. M·A·C does not test on animals and is advocating change in countries like China where animal testing exists. For more info, read here: http://bit.ly/1RPhyXe
MSIMAMO WA MAC KWENYE CAMPIGN YA KUPINGA WANYAMA KUTUMIWA KWA MAJARIBIO YA VITU MBALIMBALI.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...