Uvaaji wa wedding look alike dress kwa functions za kawaida sio mgeni mara kibao tushamuona Beyonce akiwa amevaa wedding inspired dresses kwenye functions mbalimbali ambazo sio harusi.

Gauni mbalimbali ambazo kavaa,kwa watu wengine hizi zinahitaji tu veils basi mtu anaenda zake church

Hii ilikua BET 2009 akiperform akiwa kavaa kama gauni ya harusi hadi na veil yake
Kwa bongo Jacqueline Mengi alifanya photoshoot ya birthday yake akiwa kavaa a lace dress ikiwa kama gauni flani hivi la harusi.

such a pretty face 

alinoga kwakweli

Kama unapenda a more dramatic wedding dress basi hili linafaa hata kwa dress no 2 kwenye reception yako



No comments:
Post a Comment