Yani kwa Holywood mastaa wakifanya movie premiers utapenda sababu wanatokelezea haswaa na huwa wanapanga wanakua na options nyingi hii ni pamoja na ku hire a stylist.
Kwa Bongo kidogo sasa hivi lakini watu wana mipanio ila kwa uchache sana, watu bado tuko nyuma,at least kwa Africa Nigeria na Ghana wako vizuri sana.
Ana new move ALL I SEE IS YOU ,So anazunguka sana kufanya promo interview baada ya interview

Blake Lively akiwa huko Manhattan love her boots

This jumpsuit though

Habare ya Fashion ni hii kwa sasa ,wanaita checkered suit

Brandon Maxwell yellow outfit

No comments:
Post a Comment