Thursday 19 October 2017

Julitha Kabete kuiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya Miss World 2017 huko Sanya China

Kwa wa Tanzania wengi wanashangaa inakuaje kuna mshiriki wa kwenda Miss World wakati mashindano hawajayaona,well na zile figisufigisu naona mwaka huu wakaona labda wafanye selection tu.
Alokua selected ni Julitha Kabete ambaye amekabidhiwa bendera ya Taifa tayari kwena Sanya China kushiriki mashindano hayo ya Miss World yatakayofanyika November 18 mwaka huu.
Julitha alishawahi kushiriki mashindano ya kwanza kabisa ya Miss Africa pageant maiden edition yalifanyika mwaka jana 26th November huko Nigeria .


No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...