Tucheki sasa hivi mishono kwa colors,itasaidia wale wanaoshona sare au wenye vitambaa vya aina flani waweze kuchagua mishono na kuona vitambaa vyao vikishonwa vina kaaje mwilini au kwenye nguo ikishonwa.
Humu ni silver na rangi ya kuchanganyia ,zingine ni plain silver .

off shoulders 

perfect for a send off dress 


hapa kachanganya na black lace

love this

Haka kamshono ka upande wa kulia amazing sana

waweza mix na velvet pia 
















with blue 



No comments:
Post a Comment