Si lazima ushone kitenge sababu ya harusi kama mwalikwa au kazini,waweza shona vimshono kibao kwa kutumia hata kitenge kimoja special kwa ajili ya casual days kama ni friday,au weekend hata travelling
cheki mishono hii upate idea


shirt dress
uvaeje??vaa na flats,gladiators,sneakers ,tupia hata ki jeans jacket


two piece hii waweza vaa kwa mtoto hata casual kwa ku daa boots,kimonos,au hata jeans jacket/biker jeckets

off shoulder dress

palazzo pants 

play suit


top perfect for jeans pairing 

culottes za kitenge aka pensi nyanya

shorts and a blazer 

No comments:
Post a Comment