Brides maids dresses ideas leo tucheki wakivaa white na wao kama bibi harusi.
Mishono ipo mingi ni nyie tu kuchagua upi utakua comfortable kwa kila mtu

hawa wame accessorize na chokcers 

lace and chiffon


off shoulders 



with tiara

huu ni trick sababu hamna kuvaa sidiria so kuweni makini



love love


its grey so cute 



No comments:
Post a Comment