Its FRIDAY Mishono day
naipendaga J4 sababu nawapostia post yenu pendwa ya mishono

kitenge dress with pearls 

do we like??

same prints different colors

tarumbeta sleeve dress

hii mikono nayo imerudi

off shoulder are not going anywhere


so cute 

mwenye fundi anaeweza shona suruali vizuri hivi,bila kujaa hapa kwa bibi anipe namba zake
nawazaga kushona jumpsuit au suruali ila nikifikiria wengi hawazipatiaga naacha


shirt dress

No comments:
Post a Comment