HII ILIKUA WOMEN CELEBRATION YA MWAKA 2011,MISHONO IMEANZA SIKU NYINGI Alhamdulillah tumetoka mbali na tunakoelekea kuzuri zaidi,siamini blog ina miaka 5 what an achievement.
Kwenye mwaka huu wa kutimiza miaka mitano ya utendaji,tulisherehekea kwenye women celebration na mgeni rasmi akiwa Mh Angela Kairuki.

Sahami Mwasha
Dina Marious ndo alikua Mc wa shughuli








Red carpet


Shamim na Catherine Magige


Amina Design

Mboni





Mwamvita Makamba enzi hizo CL ndo habari ya dunia nzima ,shosti alikua nazo tayari

Adeline Mushi










No comments:
Post a Comment