Mimi ni kijana wa miaka 28 ninampenda mke wangu lakini kuna baadhi ya
tabia zimekuwa changamoto kubwa kwangu ambazo zinapelekea baadhi ya
ndugu zangu na marafiki zangu kutompenda mke wangu.
Mke wangu anapenda kuvaa vikuku wakati anatokana, huwa anapenda kuvaa
miguu miwili, hili limekuwa tatizo kubwa kwangu kutokana na watu huwa
wananipa maana mbaya ya mwanamke anayevaa vikuku viwili katika miguu
yake.
Kila ninapomuuliza mke wangu uniambia anavaa kama urembo kama anavyovaa
urembo mwingine, ndugu zangu nahitaji kujua maana yake na kama ina maana
mbaya nifanye nini ili mke wangu aache kuvaa naomba ushauri wenu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...

-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
-
Watu hawa kwa hakika wanafuata mitindo na fasheni ya aina fulani katika mavazi, katika kutengeneza na kukata nywele zao, katika harakati z...
-
Kujipenda na Jithamini kimwili na kiakili huongeza furaha yako. Mwili wako ni chombo cha muhimu sana katika maisha yako ya s...
No comments:
Post a Comment