1. Apple moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.
2. Jani la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3. Limao kwa siku -hukuweka mbali na unene
4. Kikombe cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa
5. Lita tatu za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
![]() |
Apple |
![]() |
Mrihani(tulsi leaf) |
![]() | |
Limao |
![]() |
Glasi ya maziwa |
No comments:
Post a Comment