Mishono ya Christmas ,hiki ndo kipindi wamfundi hawapatikanagi kwenye
simu ,kama huwezi msimamia basi bwana acha tu utashona January ila kwa
wale ambao tunaweza kukesha nae basi tushone unamsimamia mpaka amalize.














Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
No comments:
Post a Comment