We are loving brides wa siku hizi ,unajua tuwamejiandaa na wamechukua muda kufanya research na kupata mionekano ya kisasa kuanzia nywele ,dresses ,their bouquet.

i loved the dress ,huyu bride alijua kunoga na naona inspiration ilikua royal flani hivi kuanzia the dress ya Cinderella mpaka vibandiko.

love the angelic dresses 

huyu dada ana visopidish amazing sana, alijijulia kabisa kwamba this dress itamkaa sawa

alipendeza sanaa 






the red lipstick is fire
her peplum dress 














natural hair brides are the pritiest
No comments:
Post a Comment