Saturday 5 May 2018

Sababu 8 Nywele Zako Zimeacha Kukua / 8 Reasons Your Hair Stopped Growing.


Hello Loves, kwa wale ambao tumeweka dawa the reasons are obvious, dawa inakata nywele. Hata ukizitunza vizuri kivipi there is a point ambapo zitakuwa zimeharibika kabisa.
So to all my natural sisters, mnajua kwanini nywele zenu zinaacha kukua, Natural hair ni kazi sana kuzitunza and with the right care nywele zako natural zinaweza kuwa ndefu sana. Endelea kusoma chini kujua sababu ya nywele zako kuacha kukua Au zinaonekana tu kama hazikui…

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...