Sunday 6 May 2018

NJIA 2 ZA KUSAFISHA NGOZI KWA KUTUMIA KAHAWA.


Yes loves, coffee hii tunayokunywa Kila siku kwa  wale coffee addicts you should know that unaweza pia ukatumia kahawa kusafisha ngozi yako.
Unaweza kuitumia kama scrub kwa kuchanganya na vitu vingine ili kuondoa michirizi/cellulite na Acne/chunusi.
kapescrub-anticellulite-coffee-scrub-1014x487
1.COFFEE SCRUB FOR CELLULITE.img_20160908_121027
Chukua coffee grounds na coconut oil, changanya vizuri kisha itumie kama scrub nyingine katika sehemu ambapo unacellulite..Scrub pole pole in a circular motion kwa Muda wa dakika 10-15. Kisha nawa kwa maji ya uvuguvugu. Kausha then paka moisturizer.
2.COFFEE SCRUB  FOR ACNE.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...