We love makeup and our best is pia love
makeup Lakini kuna somethings tunashauriwa kuwa haifai ku-share,
because mnaweza kuambukizana magonjwa,kuhamishiana bacteria nk. Ndio
maana mtu unajikuta unapata machunusi yasiyopona kisa ku-share.
So ladies hivi Ni vitu ambamvyo hutakiwi ku-share na mtu yoyote hats bestie wako..
1.Any beauty products that comes in a jar.

2.Mascara.

3.Pressed foundation.

4.Lipstick/lip balm/lip gloss za hivi.

5.Creme shadows.

6.Makeup brushes.

7.Facial cleansing brush.

8.Razors

No comments:
Post a Comment