Saturday 5 May 2018

5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.


Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks.s4
Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia nutural remedies/njia asili kima ifuatayo..
1.Tengeneza paste nzito kwa kutumia 1/2 parachichi, kijiko 1 cha olive oil na 1 cha apple cider vinegar. Changanya vizuri upate mchanganyiko mzito. Paka kwenye mikono yako na ukae nayo kwa dakika 15 then nawa kwa maji ya uvuguvugu..utaona mikono imekuwa milaini, fanya hivi kila siku ili upate results nzuri.
q9
2.Chukua apple cider vinegar changanya na maji kwenye bakuli, kisha loweka mikono yako humo kwa muda. Toa na uache mikono ikauke yenyewe. Apple cider vinegar inasaidia kuondoa maumivu kutokana na mikono kukauka sana.
r2
3.Chukua kiini cha yai, juice ya ndimu na kijiko 1 cha olive oil. Changaya vizuri katika bakuli kisha paka kwenye mikono yako na kaa nayo kwa dakika 15. Nawa mikono na maji ya uvuguvugu kisha paka moisturizer.
r5

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...