Issa Choose day na tunachagua Mishono toka kwa warembo wetu wa hapa hapa Bongo,tuwapumzishe kidogo wa naija .
Vimshono mshono vizuri vya kudesa unavipata hapa.

Dina Marious in Maznattailoring 

love the color and details kwenye hiki kitenge 

Nandy aka the African princess rocking hers from her own collection 

nimependa sana mikono vingine nakuachia 



That short off the shoulder dress

kutoka kwenye Single Mothers events

Mwendo wa vitenge,bazee ,batiki ,khanga,satin mshindwe nyie tu 

Mwajuma Chautundu


Khanga

Kitenge coat dress 

Batiki Jumpsuit by Bijoux trendy

Kitenge top
No comments:
Post a Comment