Saturday 14 April 2018

RANGI YA NGOZI SIO TATIZO,LAKINI IME MCOST PRIYANKA CHOPRA

Swala la ubaguzi wa ngozi bado lipo na sijui kama siku moja litakuja kuisha ,mataifa yaliyoendelea yanapinga sana hili lakini wao pia ndo wanao ongoza kwenye ubaguzi huu.
Priyanka Chopra ambaye ana umri wa miaka 35 na ana hit series yake ya QUANTICO ambayo sasa hivi inakua April 26 .Alisema kwenye interview na Instyle kwamba alikosa kazi ya movie sababu ya rangi yake.
Huku Bongo mnabaguliwa na nini???
“It happened last year,” she told the magazine. “I was out for a movie, and somebody [from the studio] called one of my agents and said, ‘She’s the wrong — what word did they use? — ‘physicality,’ ” Chopra recalled.
Initially thinking it was something about her frame, Chopra wondered if she needed to lose weight.
“So in my defense as an actor, I’m like, ‘Do I need to be skinnier? Do I need to get in shape? Do I need to have abs?’ Like, what does ‘wrong physicality’ mean?” she said.
“And then my agent broke it down for me. Like, ‘I think, Priy, they meant that they wanted someone who’s not brown,’ ” she shared. “It affected me.”
She added: “No one will say that a woman is getting paid less because she’s a woman of color, but the numbers mostly end up reflecting that.”

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...