Thursday 29 March 2018

Fahamu jinsi yakusafisha kwapa kwa kutumia Colgate na ndimu au limao




Katika video ya Leo nitawaonyesha njia rahisi ya kusafisha kwapa lako kwa kutumia Colgate na ndimu au limao ..mchanganyiko huu husaidia kuondoa harufu Kali na weusi kwenye kwapa ..... Vifaa vyilivyo tumika ni #colgate(dawa ya meno) #ndimu au limao #kisosi au sahani au bakuri #kijiko cha chakula #kisu Thank you so much for your support.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...