Monday 5 February 2018

Kanye West Aja na Kim Kardashian’s Look alike Models kutangaza KYeezus Season 6 Yapata Mode

anye West kaja na round ingine ya Yeezus Season 6 ,baada ya Kim kuzitangaza nguo kwanza na zilipata hype ,ilikua December mwaka jana ,ambapo alipozi kama anafanya errands kumbe ndo anauza nguo zenyewe.
This time models wengine kama Paris Hilton ,Shannon and Shannade Clermont,na wengine wamevaa kama Kim Kardashian ,its like wame imitate mionekano ya Kim aliyovaa.
Wote nywele pia waliweka color kama ya kim ,blonde Kucheki jinsi Kim alivyokua kavaa ingia HAPA
HEIR JORDYN

Abigailratchford




No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...