The New Black Panther movie inasubiriwa sana ,imepaniwa sana pia sababu ya kua na characters ambao wanafanya vizuri kwenye ulimwengu wa Movies ,jana ilifanyika Premier huko LA premiere at Dolby Theatre.
Moja ya our favorite stars Lupita Nyong’o alikuwepo ,she looked fierce like her character NAKIA .also her look imekua inspired pia na character yake anayocheza .

Purple Rain ,love this Versace custom made dress

love the hair and makeup




Lupita Nyong’o
‘Black Panther’ World Premiere, Los Angeles 29 Jan 2018


No comments:
Post a Comment