Wednesday 31 January 2018

Wema Sepetu Is Rocking the Same Dress Just Different Fabric by Mac Couture

Wema jana mida ya saa nne usiku hivi alipost picha zake akiwa amevaa this dress kutoka kwa Mac Couture akiwa anaiita hii gauni master piece.
The dress is not a master piece ni gauni ya kawaida tu ambayo kwanza Wema ameshaivaaa,i though Mac atakuja na new goodies maana haya magauni tumeshaona sana its not even cute anymore.
The unambiwa it took him two years kutengeneza hii gauni OMG two years and you came up with this dress????Hunnay una fail big time.
Angle ya picha nayo imemfanya Wema aonekane kama kifutu am not hating ndo ukweli
the fabric ilijitaji kunyooshwa zaidi imtoka na mikunjo hii haimaniiishi hajapendeza ,nilipenda make up and hair
She wore this dress from Elisha Red Label mwaka jana tofauti ni fabrics na mshono hii chini haujajaaa sana
Yaaani hadi pose ni zile zile 
Bongo designers YOU CAN DO BETTER 

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...