Tuesday 30 January 2018

Hizi ndo Lipstick 5 Zinazokuja Soon za Hamisa Mobetto na Majina yake

Mrembo Hamisa Mobetto amekua akifanya kazi zake in silence kama asemavyo mwenyewe working hard in silence ,Alisema anakuja na boutique yake naona kabadilisha sasa anakuja na lipstick zake tena za kisasa hizi kavu.
5 FACES OF HAMISA by CHARMED BEAUTE
Kupitia page yake ya instagram ametaja Lipstick hizo zinakujaa soon na majina yake ni kama Aisha ,Waris ,Zola,Amarana Feker
i love this one 
and this 
tusubiri ya mwisho

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...