Sunday 7 January 2018

DAWA YA KUTOA MADOA YA TETEKUWANGA

Msaada!! naomba dawa/cream ya kutoa madoa ya tetekuwanga kwa anaejua



MAONI YA WADAU.

WAKWANZA Faiza me pia nliugua huo ugonjwa nikiwa na miaka 6 au mitano nadhani halafu me ni mwepe hatari weupe wa asili sio wa cream,yaani hadi leo madoa yapo hasa kwenye mapaja na sioni haja ya kuyatoa yan hayajanistua bado me nadhani ungeyaacha tu mana kutoa huenda kukaja kukugharimu zaidi mana siki hizi kuna kila dawa

WAPOLI Ayaache yatakwisha mimi nakumbuka nilipata huo ugonjwa nikiwa mkubwa na nilikuwa na madoa sikumbuki kutumia kitu chochote ila nachojua madoa yaliisha yenyewe.

WA TATU
da unavyoenda na vyenyewe vinapungua hata usiogope…labda kama forever living wana dawa..maana ndio alternative method ninayoiamini.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...