Wednesday 27 December 2017

Faiza Ally Angetamani kupata Watoto hata 10 ,Ila Hawezi na kutaja Sababu kadhaa

Mrembo  na msanii  wa Bongo movie asie isha vituko Faiza Ally,Ni mama na mjasiriamali pia ,Aliiambia Bongo 5 kwamba angetamani sana kua na hata watoto 10 ila hawezi.Na kusema watoto wake wawili wanamtosha na hataongeza mwingine.Alitaja sababu pia za yeye kushindwa kuongeza mtoto mwingine ikiwa ni maisha kua expensive.
“Sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine kwa sababu wawili wananitosha, I don’t need more because life is too expensive, so sitaki kuleta mtoto aje kupata shida lakini natamani ningezaa hata 10”

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...