
japo Mishono huwa tunapost jumanne kwakweli i couldn’t wait hadi kesho ku post this ka dress
such a perfect dress for wedding guest 

mixed printed
off shoulders with puffy sleeves 

desa ukashone
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
No comments:
Post a Comment