Am sure by now mtakua mmeona kwamba kwa wiki hii walio trend sana kwenye mitandao ni Adesua Etomi ambaye ni mcheza sinema maarufu sana huko Nigeria na ni kipenzi cha wengi,kwenye traditional wedding yake na Mwimbaji na muigizaji Banky Wellington.

Magauni alivaa haya manne na yote designer ni tojufoyeh

For her first look alivaa this amazing pink dress with embellishment and beads ambazo zilipendeza sana kwenye shingo wake,went so well with her look 

the dress kwa chini was everything japo kulikua na kelele za hapa na pale kwamba gauni limeigwa kwa designer mwingine.

the back of the dress 

with her hubby Banky 

Love her second look
this dress was lovely loved it head to toe


yani kama kinu hivi 


Third look featured a little high slit and one shoulder 

they matched their looks .
walipendeza beyond words 













forth look ilikua na train kidogo na embellishments
mwendo wa black and silver
No comments:
Post a Comment