Naandika hii post kwakweli nacheki na hicho kichwa cha habari maana nshaandika vichwa vya habari karibia vyote na sitaki kurudia rudia so mtaenda tu na mimi mradi sijatukana.
Haya hii mishono ilishonwa special kwa kipind cha Pink october ambayo huwa duniani kote kuna kua na kampeni ya cancer .#pink censer

one shoulder pink dress



high low


strapless mini dress



sheer and fringe effect 

No comments:
Post a Comment