Wednesday 11 October 2017

Kwanini nguo inageuzwa wakati wa kufuliwa?

Amani iwe kwenu.

Kama nilivyo anza na kichwa cha habari mwenye ujuzi ama ufahamu wa kwanini nguo ugeuzwa ndani nje wakati wa kuanika baada ya kufuliwa?

Nawakilisha

MAJIBU

Kwanza ni sababu ya kuzuia nguo isipauke saaana sababu ya jua, pili kufanya nguo isichafuke wakati wa vumbi

Ni mazoea tu wengine huwa hatugeuzi mfano mimi

Iweze kutakata inapofuliwa maana sehemu ya ndani ndio yenye uchafu zaidi na mikono au mashine huiguza nguo zaidi sehemu za juu.
Hasa makwapani na sehemu zilizopindwa.
Ukibishia jaribu

Kwanza wakati wa ufuaji lazima ufue kwa ndani..kwa mfano..kwenye pindo za miguu ya surual, pindo za mashati, skirt/magaun..n.k. kwasababu maeneo hayo hushafuka zaidi adha kutokana na mafuta yanayopakwa mwilini, vumbi..jasho..n.k. general sehemu za ndan ndio hushafuka zaid..nje ni vumbi tu. Hupaswi kugeuza wakat wa kuanika bali wakat wa kufua.

Hiyo ni kufua kwa kiswahili lakini ukitumia washing mashine....vyovyote vile hata usipogeuza haina shida...na huwa unaigeuza sababu ya vumbi tu....wakati wa kuanika

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...