Sunday 15 October 2017

Hizi Through bag zimetrend sana kwenye runways ya Spring 2018 Runways

Ni muda sasa tunaona hii trend ya PVC from shoes,dresses etc.
Now kuna hizi bags za See through pamoja na PVC nikimaanisha bags za plastick zime trend sana kwenye runways mwaka 2018
CHANNEL

Anya Hindmarch

Sara Battaglia

Marni 
Valentino

Altuzarra

Fendi

Elizabeth and James

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...