Hapo nyuma Jackie alishonea wateja wake wawili on the same dress ambayo Rihanna alivaa ,ambayo ni hii

kutoka kwa designer giambattista valli
Cheki hapa wateja wake walivyo vaa hii gauni alowashonea
This time around she wore this black tutu dress

from house of stylish
love the makeup and hair


it looks like this ila Jackie ame add juu kitamba cha kawaida tu 

nimependa kamba za nyuma it made the look a bit sexy
No comments:
Post a Comment