Kila mara tukiona Joti anaoa au yuko kwenye sherehe kama send off hivi wengi tunadhani ni tangazo and tuna anza kutoa caption mwisho wa siku tunakuta Tangazo sio huku tushasema kaoa labda ,but this time its real.
Anakaribia kuoa na hizi zilikua picha za Send off siku alokabidhiwa jiko lake na wakwe zake.

engagement photo shoot

Pre wedding pictures


na best man wake Seki


walipendeza sana










No comments:
Post a Comment