Thursday 14 September 2017

NJia 5 Za kukuza/Kutunza Natural Hair Zako

Hii ni mada ambayo kila mtu huwa anapenda kuisoma na hata mimi nilipo ona Dada Nicky ameshare kwenye mtandao wa Bongocelebrity nilisoma na kuelewa na nilivyo sio mchoyo nikasema niweze kushare nanyi basi kile alicho andika.
Nimekuwa na natural hair kwa muda mrefu ila nikiwa naziweka style ya rough dreads tu na kuna wengine wanaopenda kuzikuza kuwa hadi ndefu ,hii article itakufaa sana nawaomba tu msiwe wavivu kuisoma ila mwisho mtashukuru ,tunawatu kama Dada Nicky wanaoweza kushare na sisi experience yake ya natural hair.
1.Alianza na aina ya nywele 
Ni muhimu kujua una aina gani za nywele. Ukijua utaweza kumudu vizuri zaidi mahitaji ya nywele zako. Aina za nywele tofauti zina mahitaji tofauti. Kuna ambazo zinahitaji kupakwa mafuta kila siku na kuna ambazo hazihitaji. Kuna ambazo zinahitaji “treatment” mara kwa mara. Kuna ambazo zinaweza kudumu kwa muda mrefu kabla ya kuhitaji kazi ya ziada.
Aina ya Nywele
Type-of-hair
So ilikujua aina gani ya nywele unazo alisema utajua nywele zako ni aina gani zikiwa zimelowana utajua wewe ni type 4a,4b nk
Kwa picha ya chini ni nywele zikiwa flat ironed ,mnajua vile huwa watu wana pasi nywele zinyooke ??ndo hii flat ironed sasa.
2.Kuosha Nywele
So kwenye kuosha nywele siri kubwa nikutumia shampoo nzuri na amezungumzia mambo mengi kuhusu saloons ambavyo unakuta shampoo zao wanachanganya na maji ,hii ni ukweli kabisa wananunua zile za lita tano wana dilute zinakuwa lita 12 shampoo ikijazwa maji na ubora unapungua .
ukionsha nywele kunasaidia nywele kukua,kichwa kupata hewa na nywele kuota.
Co wash na shampoo wash tofauti yake ni nini???
Aliandika ”Tofauti ni kwamba tunaposema co-wash ni kuosha nywele zako kwa kutumia Conditioner tu bila shampoo. Shampoo wash ni kutumia shampoo ambayo ni sabuni”.
 FotoFlexer_Photo-2-1024x416
Baadhi ya Products za co wash na Shampoo ambazo ni nzuri.
3.Conditioning
Conditioning ni muhimu sana kwani inafanya nywele zako zisikakamae na  kuwa kavu,zinabaki kuwa laini,na nywele kuwa na nguvu na kutokukatika katikaSheaMoisture-Raw-Shea-Butter-Deep-Treatment-Masque-1-1024x1024
Shear Moisture Cf_6fPuUYAAcmL-
T444z
Ameandika mengi zaidi kuhusu Conditioning Soma HUMU ,atakupa na views zake kuhusu products anazotumia na ushuhuda kama zinafanya kazi na kumsaidia
4.Detangling/Kuzichana nywele 
Nywele zako ni aina gani??ukishajua aina basi haitakupa shida kwenye products za kutumia,nyingi huwa zinajikusanya ,kipilipili hivi sasa unahitaji kuzi detangle /kuziachanisha na ukiwa wafanya hivi hakikisha nywele sio kavu ziwe na conditioner ili wakati wa kuchana zisikatike.5-Best-Tools-To
5.Moisturizer/Vilainishi vya nywele
Moisturizer ni kupaka vilainishi vya nywele sasa hapa mafuta ya nywele ndo yanapohusika sana ,kila mtu ana aina ya nywele zake Da Nicky anashauri kama nywele zako ni kavu sana basi paka moisturizer kila siku.
Moisturizer ni chakula cha nywele,kuzifanya zikue ,ziote na kujaa kama T444z inavyofanya kazishamim-mwasha-using-t444z-hair-food
Ukihitaji mafuta haya njoo Dar Free Market chumba number 30 ,first floor ,bei ni elf 60000 tu pesa ya Kitanzania.
Kusoma the full Article ingia Bongocelebrity
Da Nicy asante kwa somo

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...