
SIKU YA KWANZA NI KUCHANA TU KAWAIDA UKISHAOSHA NA KUPAKA MAFUTA.
SIKU YA PILI UNACHANA KAMA SIKU YA KWANZA ILA TU UNACHANA WAY YAKO KIASI WAY ITAKAA KAMA WATUMIA MAFUTA NA NATUARAL HAIR
SIKU YA TATU CHANA NYWELE ZAKO KWENDA JUU WEKA NA KIBANIO KIDOGO AU KISCARF KULINGANA NA MUONEKANO WAKO WA SIKU HIYO.

SIKU YA NNE WAWEZA TAFUTA MTU AKUSUKE PEMBENI KAMA MISTARI MIWILI MIATATU TU AU AKUSUKE UPANDE MMOJA


NA MWISHO NI STYLE YA SABA AMBAYO UKISHASUKWA STYLE YA SITA BASI WEWE SIKU YA SABA WAONGEZEA KISKAFU CHAKO ILA SHURTI UACHE NYWELE KIDOGO MBELE.
SHARE NASI STYLE ZAKO
No comments:
Post a Comment