Saturday, 30 September 2017
Kunamtu amenitumia swali juu ya nini afanye ili Nywele zake ndefu ambazo ni chache, zijae. Nataka kumwambia kwamba hilo linawezekana kwa kufanya yafuatayo. Chukua parachichi kubwa moja, asali vijiko vitatu na kiini cha yai. Osha nywele zako kwa shampoo na uzikaushe. Ponda ponda parachichi mpaka lilainike kabisa. Chukua vijiko vitatu vya asali na kiini cha yai kisha changanya yote kwa pamoja. Paka mchanganyiko huo kaa nao kwa muda wa dakika 15 kisha osha. Fanya hivyo kwa muda wa wiki moja hadi mbili na utaweza kuona matokeo mazuri katika nywele yako.
Kunamtu amenitumia swali juu ya nini afanye ili Nywele zake ndefu ambazo ni chache, zijae.
Nataka kumwambia kwamba hilo linawezekana kwa kufanya yafuatayo.
Chukua parachichi kubwa moja, asali vijiko vitatu na kiini cha yai.
Osha nywele zako kwa shampoo na uzikaushe.
Ponda ponda parachichi mpaka lilainike kabisa. Chukua vijiko vitatu vya asali na kiini cha yai kisha changanya yote kwa pamoja.
Paka mchanganyiko huo kaa nao kwa muda wa dakika 15 kisha osha.
Fanya hivyo kwa muda wa wiki moja hadi mbili na utaweza kuona matokeo mazuri katika nywele yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
:Kumbe Ukosefu wa Makalio Makubwa Unawafanya Wanawake Wasijikubali Unahisi kwanini
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
-
Mwanamke Kitenge,Ni Ukweli Usiojificha Kuwa Vazi La Kitenge Halitotoka Katika Fashion. Unaweza Kushona Gauni Fupi Kama Hili ...
No comments:
Post a Comment