Friday 15 September 2017

FAIDA ZA MAFUTA YA MZAITUNI(OLIVE OIL) FAIDA ZA MAFUTA YA MZAITUNI(OLIVE OIL)

Tafiti nyingi zimeonyesha olive oil(zaituni) inafaida nyingi sana Kwenye mwili wa binadamu .Badala  ya Kutumia Mafuta mengine ya  kula ,tumia olive oil kwa afya yako na familia yako.Yana Cholesterol  ndogo ambayo ndio nzuri kiafya.







Spain ndio nchi inayolima zeituni  kwa wingi,unaweza ukala tunda la zeituni au ukatumia Mafuta yake extra virgin oil kwa kupikia chakula, yanabei ya juu kidogo yanapatikana supermarkets Kwa bei tofauti kulingana na brands bei kuanzia 10,000Tshs na kuendelea inalingana na ujazo. Mazuri kwa watoto pia wa miezi 6 na kuendelea  kupikiwa kwenye vyakula inakuza ubongo.




zaituni unaweza tafuta.
 Maradhi yanayotibu au kuepuka kupatwa



Cancer-mafuta ya zeituni yana olecanthal na of mimics inayozalisha ibuprofen inayosaidia  kupunguza hatari ya kupata cancer.

Matatizo ya moyo

Blood pressure- inapunguza matatizo ya pressure ya juu na  chini.

Kisukari-inasaidia kucontrol blood sugar .

Kupunguza uzito,wenye calories nyingi olive oil inasaidia kupunguza unene.

Hutibu maumivu  ya mifupa

Unajiepusha na stroke

Inakusaidia uwe na kumbukumbu nzuri (improve memory)

Zeituni inafanya moyo wako usizeeke -unavyozidi kukua moyo huzeeka.The

Inapunguza stress

Kukuepusha na cancer ya ngozi,cancer ya ziwa

Matumizi yake ukitengeneza salad (kachumbali) wekea olive oil

image
Olive oil hayana calories nyingi kama ️Mafuta mengine.
wenye ngozi kavu tumia pia,massage ya watoto wachanga au wakubwa tumia (ukishikwa na misuli tumia kuchuwa)

Kutumia kwa urembo wa nywele husaidia kukuza nywele zilizo katika au ️ kujikunja(fungamana) unaweza changanya parachichi na mafuta ya olive oil ukapaka na  kuosha baada ya dk 20-30 ️Au ukachanganya mayai na olive oil.

image
Products nyingi za nywele wanatumia olive oil .


wenye Kukosa choo watoto mchanganyie na chungwa ,Maji kidogo na asali mpe ila asali kwa watoto wa 1yr na kuendelea .
Kutengenezea sabuni
image

Kutumika kama mafuta ya kupaka mwilini kukufanya kuwa nyororo na ng’avu yana vitamin A,D,E na K zinazo saidia kutoa sumu kwenye Ngozi pia.
 infection ya sikio  kwa watoto mweke matone 2 mara 3 kwa siku.
Mafuta ya zaitunii yanatibu mafua,unapaka nje ya tundu za pua mara 2-3 kwa siku yatakauka kwa haraka

watoto na watu wazima wenye tatizo (bawasili)wameota kinyama sehemu ya kutolea haja kubwa ,wanapata maumivu  wakijisaidia ,wajipake sehemu ya aja kubwa kabla na baada ya kupata ajakubwa! Ilainishe mishipa!

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...