Tuesday 29 August 2017

Muonekana wa rangi ya asili kwa kutumia vipodozi asilia


Natumia mafuta ya Vestiline ambayo kwa kiasi kikubwa yanasaidia kutunza ngozi yangu  lakini pia kumbuka kula matunda kama karoti mbichi, matango nk husaidia kungarisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo. Ni vyema kutambua ngozi yako ni ya aina gani kwa vipodozi sahihi wakati mwingine ni vizuri kuwauliza wataalamu kwa matumizi sahihi ya vipodozi

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...